26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Chidi Benz: Chuma ilikuwa niimbe na Diamond

Rashid Makwiro ‘Chidi Benz’
Rashid Makwiro ‘Chidi Benz’

NA BEATRICE KAIZA,

MSANII wa hip hop nchini, Rashid Makwiro ‘Chidi Benz’ ameshukuru mashabiki zake kwa kupokea wimbo wake mpya wa ‘Chuma’ aliomshirikisha Raymond wa WCB, huku akidai wimbo huo alikuwa aimbe na Diamond Platnumz.

Chidi Benz alisema alitaka kuimba na Diamond lakini ilishindikana baada ya uongozi wa WCB kukwepa ugumu utakaotokea kwenye kazi zinazofuata.

“Kulikuwa na ugumu, wakiamini itakuwa ngumu kufanya kazi na wasanii wa chini kama ningefanya kolabo na Diamond, lakini nawaahidi mashabiki wangu wasubiri mambo mazuri kutoka kwangu,’’ alieleza Chidi Benz, huku akiwashukuru kwa kumpokea upya katika muziki.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles