27.6 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Chama cha Putin chapeta Urusi

CHAMA cha Rais Vladimir Putin, United Russia, kimeibuka kidedea katika Uchaguzi wa Bunge lakini ushindi huo umegubikwa na ukosolewaji mkubwa.

Katika matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi, Chama tawala hicho kimeshinda asilimia zaidi ya 50 ya kura asilimia 98 zilizopigwa.

Wakati huo huo, waliokuwa wapinzani wao wakubwa kuelekea Uchaguzi huo, Communist Party, waliambulia asilimia chini ya 20 ya kura. Juu ya shutuma dhidi ya ushindi huo, United Russia kinatajwa kutumia njia nyingi za ujanjaujanja, ikiwamo kuwazuia kushiriki uchaguzi wagombea wa upinzani walioonekana tatizo kwa Chama tawala hicho.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles