23.4 C
Dar es Salaam
Sunday, May 29, 2022

Chad B Khasa aachia video ‘I Do’

Las Vegas, Marekani

Kutoka nchini Marekani msanii wa kizazi kipya mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Chad B Khasa, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipa jicho video yake mpya, I Do.

Akizungumza na www.mtanzania.co.tz Chad B amesema anaamini mashabiki wataipenda video ya wimbo huo wa mapenzi.

“Nimeachia video ya I Do katika chaneli yangu ya YouTube, naomba mashabiki zangu wa hapo Bongo na Afrika Masharik yote wanipe sapoti ili muziki wangu ufike mbali pia naomba waendelee kufuatilia kazi zangu kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram natumia jina la @chad_b_khasa_officiel,” amesema msanii huyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,712FollowersFollow
542,000SubscribersSubscribe

Latest Articles