29.6 C
Dar es Salaam
Sunday, October 1, 2023

Contact us: [email protected]

CCM YASHINDA UMEYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

ccm

NA MWANDISHI WETU,

Maabadi Suleiman Hoja (CCM-Pembamnazi) aibuka  mshindi wa Umeya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigambo.

Maabadi amechaguliwa kuwa Meya kwa kura 9. Mgombea Celestine Maufi (CDM-Mjimwema) alipata kura 5 na kura moja iliharibika.

Kwa upande mwingine, Naibu meya mpya ni Amin Sambo (CCM-Kibada) aliyepata kura 10 baada ya kumshinda Ernest Mafimbo (CUF-Tungi) aliyepata kura 5.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles