26.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 28, 2023

Contact us: [email protected]

Cannon atoka na Rozonda

Nick Cannon
Nick Cannon

NEW YORK, MAREKANI

Rapa na mkali wa filamu nchini Marekani, Nick Cannon, anadaiwa kutoka na dansa Rozonda Thomas, baada ya kuachana na Mariah Carey.

Cannon na Rozonda, walionekana juzi wakipigana kisi jijini New York, hivyo kuwafanya mashabiki wa wawili hao wakiwa na maswali mengi.

Hata hivyo Rozonda kupitia akaunti yake ya Istagram, aliweka wazi kwamba wawili hao sasa wapo katika uhusiano na kila kitu kitazidi kuwekwa wazi siku hadi siku.

“Najua kuna maswali mengi yatakuwa yanaendelea, lakini huu ni ukweli kama inavyoonekana kwenye mitandao ya kijamii, kila kitu kitakuwa wazi siku hadi siku,” aliandika Rozonda

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles