23.3 C
Dar es Salaam
Sunday, October 6, 2024

Contact us: [email protected]

Bunge laidhinisha bajeti ya Marekani

WASHINGTON, MAREKANI


HATIMAYE Bunge la Kongresi nchini Marekani limeunga mkono bajeti ili kuepusha kitisho cha kusitishwa tena baadhi ya idara za serikali. Mabaraza yote mawili ya bunge hilo yameunga mkono maridhiano.


Awali Ikulu ya Marekani ilisema Rais Donald Trump atatia saini sheria hiyo.


Hata hivyo, Rais Trump anapanga kutangaza sheria ya hali ya hatari ili kuhakikisha mradi wake wa kujenga ukuta katika mpaka wa Mexico unagharamiwa.


Kwa kudhamiria kutangaza sheria ya hali ya hatari, Trump anataka kuujenga ukuta huo hata bila Bunge la Marekani kuunga mkono mpango huo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles