27.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 17, 2024

Contact us: [email protected]

BSS yatoa washiriki wengine watatu

madam-rita-559x520JULIET MORI (TUDARCO)

WASHIRIKI watatu, Lawrence Rena na Favolii Baila wa Dar es Salaam na mmoja kutoka Mwanza, Alice Kashumba, wameaga shindano la Bongo Star Search usiku wa jana.

Alice alisema alijitahidi kuimba kwa kiwango cha juu lakini kwa kuwa hayo ni mashindano amekubaliana na matokeo.

“Kuna mengi nimejifunza kwenye shindano hilo, naamini nimeonyesha uwezo wangu na Watanzania wameona, nashukuru sana kwa hatua hii na ninawatakia heri washiriki waliobaki,” alisema Alice.

Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema shindano hilo kwa sasa lina ushindani mkubwa kwa kila mshiriki kutaka kuwa mshindi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles