28.2 C
Dar es Salaam
Monday, July 4, 2022

Brexit: Johnson aiwekea muda maalum EU kufikia makubaliano

LONDON, UINGEREZA

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ameongeza shinikizo kwa Umoja wa Ulaya muda mfupi kabla ya kuanza duru nyingine ya mazungumzo ya Brexit. 

Johnson ameutaka Umoja wa Ulaya (EU) kutoa ushirikiano katika mazungumzo yajayo ya Brexit akiweka muda wa mwisho wa kufikiwa makubaliano ni Oktoba 15.

Juzi Shirika la Habari la Press Association, limeripoti Johnson alisema itakapotokea hakutapatikana makubaliano pia yatakuwa matokeo mazuri kwa Uingereza katika matamshi ambayo yangetokea jana, atauambia Umoja wa Ulaya  iwapo makubaliano hayatafikiwa katika mkutano na Baraza la Ulaya Oktoba, pande zote mbili zinapaswa kujitayarisha kukubali hilo na kuendelea na shughuli nyingine.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
195,637FollowersFollow
545,000SubscribersSubscribe

Latest Articles