29.3 C
Dar es Salaam
Saturday, May 28, 2022

Brando Caviir awapa mashabiki ‘Fight Back’

Kingston, Jamaica

Mkali wa muziki kutoka nchini Jamaica, Brando Caviir, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa ya wimbo wake, Fight Back.

Akizungumzia wimbo huo, Caviir, amesema ndani ya muda mfupi, Fight Back, imewafikia mashabiki wengi na umeweza kuingia kwenye chati za redio mbalimbali duniani jambo linalompa furaha.

“Nimeachia audio, video ya Fight Back itatoka mwezi huu huu ili mashabiki zangu waendelee kupata burudani, bado nahitaji sapoti ya mashabiki zangu ili muziki mzuri uendelee kutamba,” amesema Brando Caviir.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,631FollowersFollow
542,000SubscribersSubscribe

Latest Articles