25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 18, 2024

Contact us: [email protected]

BOMOABOMOA NYINGINE YATANGAZWA NCHI NZIMA

Na TUNU NASSOR-DAR ES SALAAM


WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, amewataka   wananchi wote waliojenga juu ya miundombinu ya maji  wabomoe nyumba zao kwa kuwa ni hatari kwa maisha yao na  ni kinyume cha sheria.

Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam  jana, Profesa Mbarawa aliwataka watendaji wake kuhakikisha wanasimamia sheria na kuwaondoa watu hao.

“Kwa mwananchi aliyejenga ndani ya maeneo ya miundombinu ya maji sisi tutabomoa tu   kwa kuwa sheria iko wazi,  sisi kama Serikali tutalisimia hili,” alisema Profesa Mbarawa.

Alisema ikitokea bomba linalopitisha maji kwa mgandamizo mkubwa likipasuka, wananchi walio kwenye eneo hilo watapoteza maisha, hivyo kabla ya hilo halitokea wataondolewa.

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles