27.5 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

BILIONI TISA KUBADILISHA MANDHARI COCO BEACH

Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

Serikali imetenga Sh bilioni tisa kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa fukwe ya kisasa ya Coco (Coco beach).

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema  mradi huo utakaoanza hivi karibuni utaiweka katika mandhari nzuri fukwe hiyo na kutoa fursa kwa Watanzania kufika kwenye maeneo hayo kupunga upepo.

“Serikali imeamua kulibadilisha Jiji la Dar es Salaam liwe la kisasa na la kibiashara, jambo ambalo limesababiaha fukwe ya Coco kurudishwa serikalini ili iweze kutumiwa na wananchi wote,” amesema Makonda.

Amesema licha ya kuwapo kwa miradi mingine ya uboreshaji wa jiji kuanzia kwenye makazi ya watu hadi miundo mbinu ya barabara ili iweze kufikika kwa urahisi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles