31.2 C
Dar es Salaam
Saturday, December 2, 2023

Contact us: [email protected]

Bien Melody afunga mwaka na ‘Single Boy’

Sydney, Australia

KUELEKEA mwisho wa mwaka Msanii anayefanya vizuri nchini Australia, Bien Melody, ameachia kazi mpya inayofahamika kama Single Boy.

Bien Melody ameipasha Mtanzania Digital kuwa Single Boy ni miongoni mwa kazi zake bora alizozichagua zifunge mwaka huu wa 2021.

“Mashabiki wamenipokea vizuri, Single Boy ni ngoma kali sana kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.

“Nitaangalia kama naweza kuifanyia video au nikaachia video ya wimbo mwingine sababu ngoma zipo nyingi sana kikubwa naomba sapoti ili nizidi kufanya vizuri,” amesema Melody.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles