25.6 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 1, 2021

Bieber ni ‘mwendo’ wa baiskeli tu

New York, Marekani

NYOTA wa muziki aliyetamba na wimbo wa ‘What Do You Mean’ Justin Bieber, ameweka wazi kuwa anapenda kutembea kwa kutumia baiskeli kuliko gari.

Mara kadhaa msanii huyo amekuwa akitumia ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha mbalimbali ambazo zinamuonesha akiwa anaendesha baiskeli, hivyo amethibitisha kuwa anapenda sana kutumia usafiri huo.

“Mara nyingi nimekuwa nikijikuta napenda kutumia usafiri wa baiskeli, hii ni kutokana na kuwa na safari ya karibu, hivyo siwezi kutumia nguvu nyingi.

“Sioni sababu ya kutumia gari katika safari za karibu, hivyo napenda baiskeli kwa kuwa ni sehemu ya mazoezi ya mwili, hivyo karibu kila siku lazima nitaendelesha,” alisema msanii huyo.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,522FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles