29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Beyonce awaliza mashabiki Uholanzi

Beyonce
Beyonce

AMSTERDAM, UHOLANZI

MKALI wa muziki nchini Marekani, Beyonce, amewaliza mashabiki jijini Amsterdam, nchini Uholanzi baada ya kuwapagawisha mashabiki hao usiku wa kuamkia jana.

Msanii huyo alikuwa nchini humo kwa ziara yake ya muziki ijulikanayo kwa jina la Formation World Tour.

Beyonce alizidi kuwapagawisha mashabiki wake baada ya kuanza kuimba nyimbo zilizopo kwenye albamu yake mpya ya Lemonade, hivyo mashabiki walionekana kuimba baadhi ya nyimbo hizo kwa hisia.

Inadaiwa kwamba wapo ambao walikuwa wanadondosha chozi kwa madai ya kuguswa na shoo hiyo pamoja na nyimbo hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles