32.2 C
Dar es Salaam
Sunday, February 5, 2023

Contact us: [email protected]

Beti na Kitochi Piga *149*10# Ushinde Bodaboda Meridianbet

Mwezi huu wa Januari ukiachana na tabu ndogo ndogo za kimaisha pale Meridianbet wakali wa odds bomba na kubwa, unaambiwa ni shangwe juu ya shangwe, Ile promosheni ya kijanja mjini sasa imerudi tena baada ya kutoa kutoa Smartphone kibao, bajaji, TV na Bodaboda kwa washindi wetu hatimaye tena Beti na Kitochi imekuja kivingine.

Unaambiwa hivi kuanzia Januari 21 mpaka Februari 20, 2023 ni muda ambao Promosheni ya Beti na Kitochi itakuwa ikifanya kazi na kubwa kuliko ni kwamba kuna mzigo mpyaaa wa Bodaboda unakusubiri wewe hapo, cha kufanya ni kupiga *149*10# kisha weka ubashiri wako mara kwa mara. Odds bomba zipo Meridianbet.

Ili kuwa mshindi wa Bodaboda mpyaa!!! Kwenye Beti na kitochi bila bando, ni lazima kwanza ubeti siku tano mfululizo kwa dau la kuanzia tzs 500/= ambapo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda kirahisi ni unapaswa kucheza mara nyingi Zaidi.

Usichoke kubashiri mtu wangu huenda ukawa kama Didas Yeremia MSHINDI wa Bajaji au Bw Alex mshindi wa TV inch 50, wote hawa hawakukata tamaa waliamini katika usemi wa kwamba safari ya mafanikio ni ngumu ina milima na mabonde hivyo uvumilivu na subra ni siri ya mtu yeyote aliyefanikiwa.

Masharti ya Promosheni mpya ya Beti na Kitochi

Ni muhimu kuelewa haya yafuatayo kabla hujaingia kwenye Promosheni hii kutoka Meridianbet:

  • Droo ya zawadi ya Promosheni itafanyika tarehe 20.02.2023
  • Dau la chini kubashiri ni kuanzia TZS 500/=
  • Washindi wa Promosheni ya beti na kitochi, ni lazima wakubali kupigwa picha na kuwekwa kwenye chaneli za mitandao ya kijamii za Meridianbet.
  • Promosheni hii ya Beti na Kitochi inapatikana kwa kupiga *149*10# BURE.
  • Meridianbet wana haki ya kubadili masharti na sharia za promosheni muda wowote, pamoja na kusitisha Promosheni.

Beti na Kitochi kwa odds bomba hata ukiwa hauna bando muda wowote Mahali popote, hii maalum kwako wewe ambaye unahitaji kubashiri lakini una changamoto za kimtandao, hauna simu janja au hauna bando, Meridianbet wamekurahisishia kazi ushindwe wewe tu. Mechi zote unazochagua zina Odds bomba na kubwa twende kazi mtu wangu.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

  1. Wananchi msikubali kupotoshwa. Huu ni ujanja wa kibiashara. Fedha zenu zinawatajirisha mabilionea
    Hii ni kamari inayopotosha akili ya wachezaji sawa na bangi au madawa ya kulevya. Haya yanasemwa na wataalamu wa magonjwa ya akili duniani

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles