31 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 3, 2023

Contact us: [email protected]

Benzema: Mbappe anakuja Madrid

STRAIKA wa Real Madrid, Karim Benzema, anaamini Mfaransa mwenzake, Kylian Mbappe, atatua klabuni hapo siku za usoni.

Madrid walikuwa tayari kumsajili Mbappe kwa Pauni milioni 197 lakini klabu yake ya PSG waligoma kuipokea ofa hiyo.

“Ni mchezaji ambaye siku moja atacheza Real Madrid. Tuko vizuri na ningependa kuwa naye hapa Madrid,” amesema Benzema na kuongeza:

“Sijui kitakachotokea lakini Mbappe anakaribishwa sana hapa Real Madrid. Ni mchezaji mwenye sifa zote za kuwa mchezaji wa Real Madrid hapo baadaye.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles