
Wananchi wakitumia alama za kivuko cha waenda kwa miguu kilichochorwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC). NBC kupitia kitengo cha Afisa Mwendeshaji Mkuu imejitolea kuchangia usalama wa barabarani ikiwa ni mojawapo ya mikakati ya kusaidia jamii. #DaimaTunakujali