BENKI KUU KUWASHUKIA WAMILIKI MADUKA YA FEDHA

0
389

Benki kuu ya Tanzania (BoT), Imesema  itaanza msako wa kuwabaini watu wanaofanya biashara ya maduka ya kubadilishia fedha (Bureau De Change) ambazo zimekuwa zikifanya biashara ya kusafirisha fedha kwenda nje ya nchi.

Kauli iliyotolewa na msimamizi wa mabenki kutoka (BoT) Eliamringi Mandari, imesema kuwa maduka hayo yanafanya kazi kinyume cha sheria na kwa kujihusisha na biashara hiyo sasa wamiliki wake wajiandae kufutiwa leseni.                        

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here