30.4 C
Dar es Salaam
Saturday, December 2, 2023

Contact us: [email protected]

Bellerin agoma kurudi Arsenal

MADRID, Hispania

BEKI wa pembeni wa Arsenal anayecheza kwa mkopo Real Betis, Hector Bellerin, wala hafikirii kurudi Emirates.

Bellerin (26), alipoteza nafasi katika kikosi cha kwanza cha kocha Mikel Arteta kutokana na kazi za Takehiro Tomiyasu, hivyo akaona akimbilie Betis ambayo ni klabu yake ya utotoni.

Alipoulizwa kama anataka kubaki Betis, Bellerin amesema: “Sijui lakini nimesema mara nyingi, kwamba kama nisingetaka kuwa hapa msimu ujao, basi ningesema tangu mwanzo.”

Bellerin aliyecheza mechi 239 na kuipa Arsenal ‘ndoo’ tatu za FA, atamaliza mkataba wake na Washika Bunduki hao ifikapo mwaka 2023.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles