26.6 C
Dar es Salaam
Sunday, January 29, 2023

Contact us: [email protected]

Beaugard JV aachia Asante Baba

ADELAIDE, AUSTRALIA

MWANAMITINDO ambaye pia ni mwimbaji kutoka kusini mwa Australia, JanLice Beaugard JV, amewaomba wapenzi wa muziki wa gospo kuipokea ngoma yake mpya, Asante Baba.

Akizungumza na MTANZANIA, Beaugard JV alisema wimbo huo umebeba ujumbe wa shukurani kwa Mungu kwa mambo mengi ambayo ameendelea kuwafanyia wanadamu.

“Nimeachia audio mpya ya wimbo wangu Asante Baba, upo kwenye mitandao ya muziki kama YouTube, Apple Music, Spotify, Deezer, Boomplay na mingineyo, naamini unakwenda kuwabariki wengi na kumtukuza Mungu wetu kwa mengi ambayo ametufanyia,” alisema Beaugard.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,063FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles