29.7 C
Dar es Salaam
Friday, October 4, 2024

Contact us: [email protected]

BATULI ATOA NENO KWA MASTAA

NA SHARIFA MMASI


MSANII wa filamu nchini, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’, amewataka mastaa mbalimbali kujenga utamaduni wa kupendana na si kuchukiana kama ilivyo kwa baadhi yao.

Msanii huyo aliyasema hayo baada ya kuona baadhi ya wasanii wakiwa pamoja katika msiba wa aliyekuwa mpendezeshaji wa video nchini, Agness Gerald maarufu kwa jina la Masogange.

“Giza aliwezi kuondoa giza bali mwanga pekee ndio wenye nguvu ya kuondoa giza, chuki haiwezi kuondoa chuki bali upendo tu ndio wenye nguvu kubwa ya kuondoa chuki.

“Wasanii huu si wakati wa majungu, maisha ni mafupi sana tunatakiwa kupendana na si chuki katika kazi au mafanikio ya mtu,” alisema Batuli.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles