23.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 1, 2023

Contact us: [email protected]

Basila Mwanukuzi akabidhiwa ofisi Korogwe, aanza kuchapa kazi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Basilla Mwanukuzi, leo Jumatatu Juni 28, 2021 amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekua Mkuu wa wilaya hiyo, Kisa Gwakisa ambaye sasa ni Mkuu wa wilaya ya Njombe.

Mara baada ya makabidhiano, Basilla alianza kazi kwa kuonana na wadau mbalimbali na kuanza kushughulikia maswala muhimu ya maendeleo yaliyokua juu ya dawati la Mkuu wa wilaya.

Ikumbukwe kuwa kabla ya Rais Samia Suluhu kumteua Basila Mwanukuzi kuwa Mkuu wa wilaya ya Korogwe, alikuwa muandaaji wa shindano la Miss Tanzania kupitia kampuni yake ya The Look Company Limited.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,226FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles