BASHE ATAKA BUNGE LIJADILI TATIZO LA UTEKAJI WATU

0
770

Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe, ametaka Bunge kuahirisha shuguli zake leo na kujadili tatizo la utekaji watu alilosema linaharibu sifa ya nchi. Amesema pia amepewa taarifa kwamba yupo kwenye kundi la wabunge 11 ambao wamewekwa kwenye orodha ya wabunge wanaotaka kuuliwa na kikundi hicho wakikaa vibaya barabarani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here