27.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 20, 2023

Contact us: [email protected]

Basata lasema wimbo wa ‘Mwanza’ upo kifungoni haujafunguliwa

Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema alijaufungulia wimbo uliopewa jina la ‘Mwanza’ ulioimbwa na wasanii, Raymond Shabani  (Rayvany) na Nasibu Abdul (Diamond Platnumz).

Baraza hilo limesisitiza kwamba wimbo huo haujafunguliwa wala kuruhusiwa kutumika kwa jamii wala kusambazwa kwa namna yoyote ile.

“Baraza limefikia hatua ya kutoa tamko hilo la kukanisha aada ya habari kusambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa limeufungulia wimbo huo wa ‘Mwanza’ kuendelea kutumika katika jamii,’’ ilieleza taarifa hiyo.

Novemba 12 Baraza hilo lilitoa taarifa kwa umma ya kuufungia wimbo huo kutokana na sababu za maadili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
210,784FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles