BASATA, RICH MAVOKO, WCB WAFICHA WALICHOJADILI

0
1608


SAKATA la mkataba baina ya Rich Mavoko na lebo ya WCB limechukua sura mpya alhamisi  wiki hii mara baada ya pande hizo mbili kukutana katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na  kufanya mazungumzo ambayo mwisho wa siku walishindwa kuweka wazi walichojadili na hatima ya Mavoko huyo ndani ya Wasafi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here