23.9 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Balozi wa Marekani ampongeza Rais Samia

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam

Kufuatiwa Kifo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, John Magufuli, Viongozi mbalimbali wameendelea kutumia kurasa zao za mitandao ya Kijamii kumpongeza Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Donald J Wright, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa

Pia balozi Wright ametakia kila la heri Rais Samia anapoanza Uongozi wake kwa kuliongoza Taifa katika kipindi kigumu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles