28.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 24, 2023

Contact us: [email protected]

Balozi Fatma akutana kwa mazungumzo na Balozi Qatar

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Hussain Ahmad Al – Homaid katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo Februari 23, 2023.

Katika mazungumzo yao, viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali hususani ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Qartar ambapo Balozi Fatma amemhakikishia Balozi wa Qatar kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Qatar kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo viwanda, biashara na uwekezaji.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,085FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles