27.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 4, 2023

Contact us: [email protected]

Balozi Dk. Slaa aunga mkono uwekezaji bandarini

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Balozi Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji na kampuni ya DP World ya Dubai.

Balozi Dk. Wilbrod Slaa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 13, 2023 jijini Dar es Salaam, Slaa amesema kuwa mikataba ya nchi hodhi (host government agreement) na mikataba kati ya nchi na nchi (intergovernmental agreement) kama uliopitishwa juzi na Azimio la Bunge siyo jambo la kigeni.

“Dosari za wazi katika mkataba huu ziondolewe, ili mkataba huu uweze kuendelea katika hatua za awali na iwapo kampuni husika tutaridhika nayo mkataba uongezwe kwa jinsi tutakavyowapima na kwa kila hatua kuzingatia maslahi ya usalama wa taifa letu,” amesema Dk. Slaa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles