29.6 C
Dar es Salaam
Saturday, May 21, 2022

Baba Levo aipa nguvu Dream Cash

NA CHRISTOPHER MSEKENA

RAPA nyota nchini, Baba Levo, amepata dili la kusimamia lebo ya Dream Cash Worldwide iliyoanzishwa na Mtanzania anayeishi Uswizi, lengo likiwa ni kuibua na kukuza vipaji.

Akizungumza na MTANZANIA jana bosi wa Dream Cash, Castro Sisqo alisema baada ya kuisoma tasnia ya muziki wameona Baba Levo ni mtu sahihi anayeweza kusimamia lebo hiyo ili kufikia malengo ya msanii wao, Platform anayetamba na wimbo, Naogopa.

 “Tulikuwa tunasoma ‘game’ kwanza, tukaona tuje na staili yetu, naamini mashabiki wataipenda kwa sababu Baba Levo ni msanii mkubwa na yupo kwenye muziki kwa muda mrefu, mashabiki waendelee kutuunga mkono sisi na msanii wetu, Platform,” alisema. Sisqo

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
191,701FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles