24.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 10, 2024

Contact us: [email protected]

Baada ya Tanzania, K.O atua Kenya

Rapper K.O. was born Ntokozo MdluliNAIROBI, KENYA

BAADA ya kutokea Tanzania alipokuwa na ziara ya kutembelea baadhi ya vyombo vya habari anayoifanya kwa nchi za Afrika Mashariki, msanii kutoka Afrika Kusini, Ntokozo Mdluli ‘K.O’ ameelekea nchini Kenya ambako alipata mapokezi ya kutosha.

K.O alisema ameshangazwa na mapokezi hayo ambayo awali hakujua kama ni yake, kutokana na bendera ya nchi hiyo zilivyokuwa zikipepea badala ya bendera za nchini kwao.

“Inaonyesha wazi kwamba watu wa Kenya wanaipenda nchi yao, nimefurahi kupokelewa kwa bendera yao, lakini shangwe na mapokezi yao ndiyo yanayonipa nguvu na furaha ya kufanya vema,” alisema K.O.

Baada ya kuwasili nchini Kenya, msanii huyo anaambatana na wenyeji wake, Rabbit King Kaka, DJ Taio na Octopizzo.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles