24.3 C
Dar es Salaam
Thursday, August 11, 2022

Azam kuelekeza hasira zake kwa Mbeya City

TIMA SIKILO

KOCHA wa Azam FC, Iddi Cheche, baada ya kutoka suluhu na Mbao FC, ameapa kumaliza hasira zao kwa timu itakazokutana nazo katika michezo inayofuata.

Timu hiyo, Aprili 14 itacheza dhidi ya Mbeya City, Mkoani Mbeya.
Akizungumza na MtanzaniaDigital leo Aprili8, Cheche amesema kwa sasa wanajianda na mchezo wao dhidi ya Mbeya City.

“Tumepoteza kwa sababu za kimazingira na siunajua mechi zetu hizi mambo mengi, lakini tunarudi kujipanga na mchezo wetu dhidi ya Mbeya City pointi tatu lazima,”

Azam wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa LigiKuu wamecheza michezo 30 nakujikusanyia pointi 63.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,455FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles