27.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 26, 2022

Arteta haondoki Arsenal

London, Uingereza

MABOSI wa Arsenal wala hawafikirii kumtimua Mikel Arteta licha ya mashabiki wa timu hiyo kuona ni wakati sahihi kwa Mhispania huyo kufungashiwa virago.

Arsenal imeanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya England kwa kupoteza mechi mbili za awali (Brentford na Chelsea), hivyo kocha Antonio Conte akaanza kuhusishwa na kibarua cha Conte.

Aidha, kipengele kingine kigumu kwa Arteta na vijana wake ni mwishoni mwa wiki hii, ambapo watakuwa ugenini kukabiliana na mabingwa watetezi, Manchester City.

Hata hivyo, ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya West Brom katika mchezo wa jana wa Kombe la Ligi (Carabao Cup) unaweza kurudisha morali ya wachezaji wa Arsenal.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,044FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles