ARIANA GRANDE ACHANGISHA ZAIDI YA BIL 28/-

0
397

LONDON, ENGLAND


NYOTA wa muziki nchini Marekani, Ariana Grande, juzi alifanikiwa kuingiza pauni milioni 10 ambazo ni zaidi ya Sh bilioni 28 zitakazoelekezwa kusaidia waathirika wa mlipuko wa bomu uliotokea Mei 22, katika Uwanja wa Manchester Arena baada ya onyesho lake.

Katika mlipuko huo, watu 22 walipoteza maisha na wengine 119 walijeruhiwa.

Shoo hiyo ambayo ilipigwa kwenye Uwanja wa ‘Emirates Old Trafford Cricket Ground’ ikijulikana kwa jina la ‘The One Love Manchester Benefit Concert’ na ilisindikizwa na wasanii mbalimbali wenye majina makubwa nchini Marekani akiwemo Katy Perry, Coldplay, Miley Cyru, Liam Gallagher, Justin Beiber na Pharrell Williams.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here