23.9 C
Dar es Salaam
Thursday, September 29, 2022

Amber Rose, Wiz Khalifa wadumisha upendo

Amber na wizkhalifaNEW YORK, MAREKANI

BAADA ya penzi la Wiz Khalifa na Amber Rose kuyumba, kwa sasa wawili hao wameonekana kulidumisha penzi hilo kwa kufanya mitoko mbalimbali ya wazi.

Tangu warudi kwenye uhusiano miezi miwili iliyopita, kwa sasa wamekuwa wakiwa pamoja mitaani na mtoto wao kwa ajili ya kulitangaza penzi lao jipya.

“Ni furaha kubwa kuona familia ikiweza kulea mtoto, sikukuu hii tumeweza kutoka na mtoto wetu kwa ajili ya kuonesha upendo, tunaweza kuwa familia ya mfano bora,” aliandika Amber Rose.

Wawili hao walirudiana baada ya Wiz kuachia wimbo wake wa ‘See You Again’ ambapo Amber Rose alikuwa anashindwa kuzuia hisia zake kila anapousikia wimbo huo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,298FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles