28.7 C
Dar es Salaam
Sunday, November 28, 2021

Amber Rose achora tattoo usoni ya jina la mwanaye

Los Angeles, Marekani

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose, mwishoni mwa wiki iliopita alichora tattoo usoni ya jina la mtoto wake Slash Electric.

Mrembo huyo alijifungua Oktoba mwaka jana huku akiwa mtoto wake wa pili, lakini ni mtoto wa kwanza na mpenzi wake Alexander Edwards.

Amber alifanikiwa kupata mtoto wa kwanza akiwa kwenye uhusiano na rapa Wiz Khalifa, mtoto huyo anajulikana kwa jina la Sebastian Taylor Thomaz mwenye umri wa miaka sita sasa.

Amber na Edwards walikutana mara ya kwanza mwaka 2015, lakini hawakuwa kwenye uhusiano hadi miaka mitatu baadae 2018 ambapo mrembo huyo alithibitisha kuingia kwenye uhusiano na kijana huyo.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,206FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles