30.4 C
Dar es Salaam
Friday, September 24, 2021

Amber Rose achoka kukaa ndani

CALIFORNIA, MAREKANI 

STAA wa mitindo nchini Marekani, Amber Rose, ameonekana kuchoshwa na hali ya kukaa ndani kutokana na hofu ya kuenea kwa virusi vya corona.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 36, mwishoni mwa wiki iliopita alionekana akiwa mitaa ya Sherman Oaks, California akifanya mazoezi ya kutembea bila ya kujali watu kuambiwa wakae ndani kwa kuhofia virusi hivyo.

Hata hivyo, kabla ya watu kuambiwa wakae ndani mrembo huyo alikuwa anatumia muda mwingi kukaa ndani kutokana na kulea mtoto wake Slash mwenye umri wa miezi sita sasa.

Mbali na kuonekana mitaani, lakini mrembo huyo amekuwa mmoja kati ya watu ambao wanahamasisha watu kuendelea kukaa ndani kutokana na kuepuka kuenea kwa virusi hivyo vya corona.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,873FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles