23 C
Dar es Salaam
Monday, August 15, 2022

Amber Lulu amtambulisha mpenzi wake mpya

Mohammed Ulongo -Dar es salaam

Msanii wa bongo fleva, Amber lulu ameweka wazi  mahusiano yake kwa kumtambulisha mpenzi wake mpya ambaye ni msanii mwenzake maarufu anayetambulika kama croozy.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 20 katika ofisi za mtaharishaji wa muziki prodyuza kimambo, Amber Lulu amesema msaani huyo ambaye yupo kwenye mahusiano naye ni raia wa Tanzania lakini anaishi nchini Ujerumani.

“croozy ni msaanii chipukizi katika tansia ya muziki na wanapeana ushirikiano sana kwenye kazi zao za kimuziki pia ni msaani wa kwanza mwenye uwezo wa kifedha Tanzania nzima”amesema amberlulu.

Pia Amber lulu amesema msaani huyo ni chipukizi na kwasasa anatamba na nyimbo yake inayojulikana kwa jina la kibunda ambayo kamshirikisha msanii wa miondoko ya Hip hop ‘country boy’ chini ya prodyuza Kimambo na inafanya vizuri nyimbo hiyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,800FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles