28.1 C
Dar es Salaam
Friday, October 11, 2024

Contact us: [email protected]

Ali Kiba apata mtoto wa kiume

BRIGHITER MASAKI

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na Mkurugenzi wa Rockstar, Ali Kiba, amefanikiwa kupata mtoto wa kiume na mkewe aliyefunga naye ndoa mapema mwaka jana.

Mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Kadogo, amethibitisha kupata mtoto kupitia Snapchat  kwa kuweka picha ya mguu na mkono wa mtoto.

Baada ya muda, msanii huyo aliposti video fupi ikiwaonyesha watoto wakituma salamu kwa msanii huyo wakimwambia  hongera kwa kupata mtoto wa kiume.

“Hongera kwa kupata mtoto wa kiume na mlinde mtoto kwa ajili yetu,” walisema watoto hao kupitia video hiyo.

Huyo ni mtoto wa kwanza kwa Ali Kiba na mkewe, lakini staa huyo tayari alikuwa na mtoto.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles