22.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Alenga The Great aibuka kivingine na ‘Deception Love’

Houston, Marekani

Mwongozaji na Mwigizaji wa Filamu nchini Marekani, Alenga Elize maarufu kama ‘Alenga The Great’, ameachia kazi nyingine inayofahamika kama ‘Deception Love au Udanganyifu wa Mapenzi’.

Alenga ameiambia www.mtanzania.co.tz ameachia kazi hiyo mtandaoni siku chache zilizopita ikiwa ni baada ya kufanya vizuri kwa filamu yake iliyotangulia ya Love or Money aliyoitoa Mwaka jana na sasa amewaomba mashabiki zake kuipokea filamu hiyo mpya inayopatikana kwenye chaneli yake ya YouTube inayofahamika kama Alenga The Great Films.

Aidha Alenga amesema maeneeo yaliyotumika kutengeneza filamu hiyo ya Deception Love ni ya Houston Texas ikiwakutanisha waigizaji wengine wa nchini Marekani kama, Aline Enjo, Jack B, Anzu Records, Martha Desire, Mauzo Bovis, Lil Broja, Simply Rizo, Sibu Abwe na wengine.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,205FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles