25.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 29, 2022

Contact us: [email protected]

Alenga ashangazwa na ‘Love or Money’

TEXAS, MAREKANI

MWONGOZAJI na mwigizaji anayefanya vizuri, Houston, Texas, Marekani, Alenga Elize ‘Alenga The Great’, ameshangazwa na mapokezi makubwa ya filamu yake mpya, Love or Money.

Alenga The Great, ameliambia Papaso la Burudani kuwa filamu hiyo yenye ujumbe mzuri kuhusu  nguvu ya mapenzi na pesa imetazamwa na watu wengi kwenye YouTube ndani ya muda mfupi.

“Nashukuru mapokezi yamekuwa makubwa, filamu hii tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube (Alenga The Great Films) ambapo ilitazamwa na watu 2,000 (2k) ndani ya saa 10, haya ni mafanikio makubwa kwangu na kwa wasanii nilioshirikiana nao,” alisema Alenga.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,444FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles