26.4 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Albamu ya Goodluck kusambazwa mikoani

lolliNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa muziki wa injili nchini, Goodluck Gozbert ‘Lollipop’, anatarajia kusambaza albamu yake mpya mikoani.

Msanii huyo aliachia albamu hiyo mwishoni mwa mwaka jana, lakini ilikuwa tayari jijini Dar es Salaam, ila kwa sasa anatarajia kuisambaza mikoani kupitia kampuni ya Msama Promosheni.

“Albamu yangu ya ‘Ipo Siku’ ilikuwa tayari tangu mwaka jana mwishoni hapa Dar, lakini mikoa mingine kama vile Mwanza, Arusha, Mbeya, Morogoro na sehemu nyingine ilikuwa bado, hivyo kwa sasa kampuni inafanya hivyo katika mikoa hiyo,” alisema Goodluck.

Msanii huyo mwaka jana alifanikiwa kushinda tuzo ya Xtreem Awards za nchini Kenya, huku akiibuka kidedea na wimbo bora wa mwaka

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles