Leo ni ' Mapinduzi Day'.Ifahamike hapa, kuwa katika Zanzibar, Sherehe za Mapinduzi ndio sherehe kubwa kuliko zote ikiwamo za kiimani.
Shamrashamra za kuelekea siku ya...
Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakikishe inatoa kandarasi za ujenzi na ukarabati wa barabara...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo mchezaji wetu Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo na kuwa Sajenti...
Na Winfrida Mtoi
Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa...
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kwa ushirikiano wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) wameandaa mafunzo ya Soka la Ufukweni(Beach...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Mchezaji wa gofu wa kulipwa kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Fadhili Nkya ameibuka bingwa katika michuano ya Lina...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Mixx by Yas, hatua muhimu inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa, Rayvanny, maarufu kama Chui, ameizindua rasmi promosheni mpya inayojulikana kama...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa" kwa Msimu...