26.1 C
Dar es Salaam
Friday, December 9, 2022

Contact us: [email protected]

2Moods wa Canada aachia ‘Realite’

NA CHRISTOPHER MSEKENA

KUTOKA Alberta nchini Canada, msanii wa kizazi kipya anayefanya vyema pande hizo, 2Moods Lyricist, ameibuka kivingine na wimbo, Realite aliomshirikisha Paradis.

2Moods, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ameliambia MTANZANIA kuwakuwa licha ya kuwa yupo ughaibuni ila anaamini ana mashabiki wengi Afrika ambao wanahitaji kuburudishwa kwa muziki mzuri.

“Video ya Realite tayari nimeiachia wiki hii ipo katika chaneli yangu ya YouTube (2Moods Lyricist), namshukuru Paradis ambaye amefanya makubwa kwenye ngoma hii, naomba sapoti kwa mashabiki zangu wapya hapo Tanzania na maeneo mengine,” alisema 2Moods

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,735FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles