HomeKitaifa Kitaifa Rais Samia ampandisha cheo ACP Dora By Mtanzania Digital September 6, 2024 0 524 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024. IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleMakamu wa Pili wa Rais Zanzibar afungua mashindano ya BAMATANext articleTimu ya wanaume kriketi kushiriki michuano ya Afrika Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Habari Kuu Bashe: Tunaondoa ukiritimba vyama vya ushirika vya Tumbaku Kilimo Mnada wa kwanza wa korosho Tandahimba na Newala wafana Biashara na Uchumi Kuanzishwa kwa Jukwaa la Biashara na Huduma Kariakoo kufungua fursa zaidi LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow590,000SubscribersSubscribe Latest Articles Habari Kuu Bashe: Tunaondoa ukiritimba vyama vya ushirika vya Tumbaku Kilimo Mnada wa kwanza wa korosho Tandahimba na Newala wafana Biashara na Uchumi Kuanzishwa kwa Jukwaa la Biashara na Huduma Kariakoo kufungua fursa zaidi Afya na Jamii Mchungaji Tengwa awataka Watanzania kuliombea Taifa Kitaifa Rais Samia avitaka Vyama vya Siasa kujipanga kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa Load more