30.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

SERIKALI YAADHIMIA KUPANGA ADA ELEKEZI KWA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI

?????????
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi

Serikali imeadhimia kupanga ada elekezi  kwa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki ili kuiboresha elimu ya Tanzania iweze na kuondoa tabia ya kukimbilia nje kutafuta elimu.

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi  amesema, uwepo wa ada elelezi utaleta usawa kwa wahitimu wa vyuo vikuu katika soko la ajira la Afrika Mashariki.

Amesema imekuwa kawaida kukimbilia nje kutafuta elimu hali ambayo inasababisha baadhi ya watu kuona kama elimu ya hapa nchini haina hadhi.

Balozi Mwinyi alisema ili kuirejeshea thamani elimu ya Tanzania wameamua kuweka ada  maalum itakayotumika katika vyuo vyote  vya Afrika mashariki .

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles