27.5 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Rais mteule MAT atunukiwa tuzo Ujerumani

Veronica Romwald



Rais mteule wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Elisha Osati, ametunukiwa tuzo ya Uongozi katika Sekta ya Afya kwa Madaktari Vijana, Berlin nchini Ujerumani.

Akizunguma na Mtanzania Digital leo Jumapili Oktoba 14, Dk. Osati amesema tuzo hiyo imetolewa na  Shirika la Inter-Academy Partnership (IAP), leo mchana.

“Ni tuzo kuhusu masuala ya uongozi katika sekta ya afya ambayo hutolewa IAP kwa madaktari wenye umri chini ya miaka 40 waliofanya vizuri kiuongozi katika sekta ya afya.

“IAP linafanya kazi na mashirika mengine yaliyopo kila nchi duniani, hapa nyumbani wanashirikiana na Tanzania Academy of Science iliyo chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (Costech), ndiyo waliowasilisha jina langu huko,” amesema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles