HABARI ZILIZOTUFIKIA

Hofu ya corona yamfanya ajifungie ndani miezi mitano sasa

NKa AVELINE KITOMARY KATIKA kipindi hiki ambapo Dunia imekuwa ikiathiriwa na mlipuko wa homa kali ya mapafu

SIASA

Mwanamama ajitosa kuwania urais Chadema

Na SHEILA KATIKULA-MWANZA MWANAMAMA Dk. Mayrose Majinge, amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza...

Lijualikali: Hata mimi nimeitoa mbali Chadema

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MBUNGE wa Kilombero, Peter Lijualikali (Chadema), amezidi kuanika namna ambavyo wabunge wa chama hicho...

TUFUATE MITANDAONI

86,653FansLike
104,919FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

BIASHARA NA UCHUMI

MAONI

Serikali, Barrick wamefungua ukurasa mpya

Mwandishi Wetu HATIMAYE uamuzi wa Rais Dk. John Magufuli wa kuzuia kuuzwa kwa makinikia kwa Kampuni ya Barrick miaka...

BUNGENI

Mdee ahoji ahadi Wizara ya Ardhi kutengeneza miundombinu Kawe

Na Ramadhan Hassan, Dodoma MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema)  amehoji  ni kwanini wananchi wa Kawe hawatengenezewi miundombinu licha...

Watumishi 2,859 wako kwenye mfumo wa utumishi – Wizara

Na Ramadhan Hassan HADI  kufikia  Agosti, mwaka jana, kulikuwa na watumishi 2,900 wenye ulemavu wa aina mbalimbali ambao kati...

Wabunge walilia posho za madiwani

Ramadhan Hassan -Dodoma WABUNGE wameitaka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kushughulikia tatizo...

Wabunge waungana kuishukia Nida

Ramadhan Hassan -Dodoma WABUNGE wameungana bila kujali itikadi zao kutaka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), ichukuliwe hatua...

AFYA NA JAMII

MICHEZO

Nyota Yanga kuwekwa kitimoto

Na WINFRIDA MTOI, Dar es Salaam UONGOZI wa Klabu ya Yanga na wadhamini wao GSM, wanatarajia kukutana na wachezaji...

Bodi ya Ligi yaituliza Azam

 WINFRIDA MTOI -DAR ES SALAAM  BODI ya Ligi (TPLB) imeituliza Azam FC iliyotarajia kuanza mazoezi Jumatano ya wiki hii...

Bayern Munich haikamatiki

 MUNICH, UJERUMANI  VINARA wa Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu Bundesliga, Bayern Munich, wameendeleza wigo wa pointi nne dhidi ya...

SPONSORED ARTICLES

Sababu Kumi za Kujaribu Casino Heist ya Meridianbet – Sherehe ya...

Meridianbet inakuletea toleo jingine makini la msisimko wa Casino katika mchezo wa CASINO HEIST-na hii sio sloti ya kawaida tu.

Huduma ya pesa kwa njia ya simu inavyoweza kutusaidia kupunguza maambuki...

Homa ya corona imetikisa kila kona ya dunia hivi sasa. Tanzania nako si kisiwa kwani napo visa vya maambukizi vilianza kupatikana kuanzia...

Tiketi yako ya kwanza daima ni ushindi ukiwa na Meridianbet!

Meridianbet wameanzisha Promosheni ya TIKETI YA KWANZA JUU YETU ambayo tiketi yako ya kwanza daima haiwezi kupoteza, kwa sababu kama haijashinda –Watakurudishia...