26.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

NAS, NICKI MINAJ WAJIANIKA

NEW YORK, MAREKANI



WAKALI wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nasir Bin Jones na Nicki Minaj, hatimaye wameamua kuweka wazi uhusiano wao kwa mara ya pili baada ya kuachana miaka kadhaa iliyopita.

Wawili hao wameamua kuweka wazi tena uhusiana wao baada ya Nicki kuachana na rapa Meek Mill mapema mwaka huu.

Kwa mujibu wa mtandao wa E! News, Nas na Nicki walianza kurudisha uhusiano wao tangu Mei mwaka huu, hata hivyo wiki iliyopita Nicki alihudhuria kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa Nas alipotimiza miaka 44.

Nicki alitumia ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha na Nas na kuandika: “Ni mfalme pekee ambaye anaweza kumtambua Malkia, nakupenda sana. Hata hivyo, Nas alijibu kwa kuandika kwamba tupo pamoja.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles