27.1 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

MWAKA 2016 WAWEKA REKODI YA KUWA MWAKA WENYE JOTO ZAIDI

pic ukameKiwango cha joto kwa mwaka 2016 kimeweka rekodi yakuwa ni mwaka wa joto zaidi ukilinganisha na miaka ilyopita kama vile 2015.

Kwa mujibu wa tawkimu kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) zimeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino.

Kwa mujibu wa wanasayansi, El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwenye mstari wa Ikweta katika bahari ya Pacific, kipindi ambacho kinakadiriwa kuwa hujirudia kila baada ya miaka 5, hali hii ilianza kushuhudiwa katikati ya mwaka jana. Hii ni moja ya athari za mabadiliko ya tabia nchi pia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles