30.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

MBAO, MBEYA CITY HAKUNA MBABE

Na MWANDISHI WETU-MWANZA

TIMU ya soka ya Mbao FC ya Mwanza imetoka sare ya kufungana mabao 2-2 na timu ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa jana katika Uwanja wa CCM Kirumba, mjini hapa.

Mbao FC imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake huo wa nyumbani na kujikuta wakilazimishwa sare ya mabao hayo mbele ya mashabiki wake.

Kwa matokeo hayo, Mbao imefikisha pointi sita huku Mbeya City wao wakifikisha pointi nane katika msimamo wa ligi hiyo.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles